Shughuli za mafunzoDownload 0.59 Mb.
Page1/6
Date conversion13.07.2018
Size0.59 Mb.
  1   2   3   4   5   6KISWAHILI SCHEMES OF WORK

STANDARD 8, 2018

KISWAHILI SCHEMES OF WORK STANDARD 8, 2018

TERM 1

WIKI

KIPINDI

MADA KUU

MADA

NDOGO

SHABAHA

SHUGHULI ZA MAFUNZO

NYENZO

ASILIA

MAONI
1

Kufungua Marudio na Mazoezi2

1

KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA

Maamkizi

Kufikia mwisho wa kipindi,mwanafunzi aweze:

Kuamkiana kwa njia ifaayo.

Kubainisha matumizi ya msamiati wa adabu na heshima.

Kuuliza na kujibu maswali juu ya adabu njema.

Kutoa maelezo ya jinsi ya kusalimu na kujibu salamu.

Kuyiga na kuigiza kuhusu salamu.

Kurudia matumizi ya msamiati wa maamkizi.Picha

Michoro.


Chati ya maamkizi.

Kamusi.


Kiswahili sanifu darasa la nane uk 22

KUSOMA

Ufahamu

Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzin aweze:

Kusoma na kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi.

Kuigiza michezo na kutumia misamiati mpya kwa usahihi.


Kurejelea somo lililopita

Kuzungumza juu ya picha na michoro.

Kusoma ufahamu.

Kuongoza kupitia maswali ya ufahamu.

Kujadili mada inafunza nini.

Kufanya zoezi.Picha/michoro

Kamusi


Wanafunzi wenyewe.

Kiswahili sanifu darasa la nane uk 2


3

MSAMIATI

Shairi

Mwanafunzi aweze:

Kusoma shairi kwa ufasaha.

Kuikiri shairi kwa mahadhi mazuri.

Kufafanua ujumbe wa shairi.

Kouandikja kwa hati zinazosomeka

Kurejelea kipindi kilichopita.

Kueleza maana ya maneno mpya.

Kukariri shairi kwa mahadhi mazuri.

Kushindana kwenye makundi.

Kuzungumza na kujadili funzo.


Kamusi

Shairi kitabuni.

Wanafunzi wenyewe


Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 4.
4

SARUFI

Viambishi vya ugeni.

Mwanafunzi aweze:

Kueleza maana ya viambishi.

Kutaja aina ya viambishi na kubainisha viambishi vya ngeli.

Kutumia viambishi vya ngeli katika sentensi.Kurejelea somo lililopita.

Kueleza aina ya viambishi ngeli.

Kutoa maelezo kuhusu viambishi vya ngeli.

Kupitia zoezi kwa sauti.

Kufanya zoezi.


Chati.

Jedwali la viambishi ngeliKiswahili sanifu darasa la 8 uk 5.5

KUANDIKA

Insha

Mwanafunzi aweze kuandika insha kwa:

Kujaza pengo kwa usahihi.

Kutumia manano ya heshima ifaayo katika insha.

Kuandika kwa hati zinazosomeka.Kushindans darasani juu ya msamiati juu ya adabu waliyojifunza.

Kuuliza na kujibu maswali juu ya heshima na adabu njema.

Kupitia funzo kwa sauti.

Kuandika insha.

Kusahihisha insha.


Kielelezo cha insha.

Tajriba ya wanafunzi.Kiswahili Sanifu Darasa la 8 Uk 73

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Msamiati wa akisami.

Mwanafunzi awezeKubainisha akisami pamoja na maelezo yake.

Kuandika na kuhesabu akisami kwa usahihi.Kuuliza maswali juu ya akisami.

Kuandika na kuonyesha akisami kwa michoro.

Kupitia funzo kwa sauti.

Kufanya zoezi.

Kusahihisha zoezi lililofanywa.


Michoro.

Picha.


Kadi za akisami.

Kamusi


Chati za akisami.


Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 82

KUSOMA

Ufahamu

Mwanafunzi aweze:

Kusoma na kujibu maswali ya ufahamu kwa ufasaha.

Kutumia msamiati mpya kwa usahihi.

Kueleza funzo la hadithi hii.Kuuliza maswali juu ya kazi.

Kuhimiza wanafunzi kutoa hadithi fupifupi

Kueleza maana ya maneno mpya.

Kusoma ufahamu.

Kufanya zoezi.


Kamusi.

WanafunziKiswahili sanifu darasa la 8 uk 9.

Mwongozo wa mwalimu uk 9


3

MSAMIATI

Misemo na methali

Mwanafunzi aweze kubainisha misemo na methali.

Kufafanua maana ya misemo na methali.

Kutumia misemo na methali katika sentensi kwa usahihi.


Kuuliza maana za misemo.

Kueleza umuhimu wa misemo na methali katika lugha.

Kuandika misemo na methali ubaoni.

Kupitia funzo kwa sauti.

Kufanya zoezi.

Kusahihisha zoezi.Vielelezo vya misemo na methali.

Kamusi


Kitabuni.

Kiswahilsnifu uk 11 darasa la 8.

Mwongozo wa mwalimu uk 9 – 10.

4

SARUFI

Vivumishi visivyo chukua viambishi ngeli.

Mwanafunzi aweze:Kubainisha vivumishi visivyochukua viambishi ngeli katika umoja na wingi.

Kutumia vivumishi hivyo katika sentensi.Kutaja vivumishi.

Kuonyesha vivumishi vinavyobadilika katika ngeli mbali mbali.

Kuonyesha vivumishi visivyochukua viambishi ngeli.

Kupitia somo kwa sauti.

Kufanya zoezi.

Kusahihisha.Chati

Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 12.

Mwongozo wa mwalimu uk 11.

5

KUANDIKA

Insha

Mwanafunzi aweze:

Kuandika insha akitumia maneneo aliyopewa kwa usahihi.

Kubui kisa kulingana na kichwa alichopewa.

Kuandika kwa hati zinazosomeka.


Kueleza maana ya misemo waliyofunzwa.

Kueleza hatua za kufuata.

Kueleza kisa.

Kupitaia funzo kwa sauti.

Kuandika insha.

Kusahihisha insha.Insha ya kubuni.

Kielelezo cha insha.Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 14.

Mwongozo wa mwalimu uk 12 – 13

4

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Tarakimu (10,000,000 – 100,000,000)

Mwanafunzi aweze:

Kusoma na kuzungumza tarakimu za idadi(10,000,000 – 100,000,000)

Kuhesabu na kuandika tarakimu.


Kusoma tarakimu chini ya 10,000,000

Kuandika tarakimu ubaoni.

Kufundisha tarakimu

Kutamka tarakimu kwa usahihi.

Kuafanya zoezi.


Kadi za tarakimu.

Ramani ya ulimwengu.
Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 20.

Mwongozo uk 14 – 15.


2

KUSOMA

Ufahamu

Mwanafunzi aweze:

Kuuliza maswali juu ya

Picha

Kiswahili

Kusoma na kujibu maswali ya ufaha mu.

Kutaja majina ya sayari.

Kutumia msamiati wa sayari kwa usahihi


anga.

Kuona picha na kueleza wanachokiona.

Kusoma ufahamu na kufanya zoezi.


kamusi

sanifu darasa la 8 uk 21.

Mwongozo wa mwalimu uk 16 - 17

3

MSAMIATI

Vitate

Mwanafunzi aweze:

Kueleza maana ya neon vitate.

Kutumia vitate katika sentensi.

Kueleza maana mbalimbali za vitate.Kuandika somo la alfabeti na silabi.

Kuorodhesha vitate ubaoni.

Kutoa maana ya vitate katika kamusi.

Kutunga sentensi kutumia vitate.

Kufanya zoezi.


Kadi

Ubao


Chaki

kamusi


Kiswahili sanifu uk 23.Darasa la 8.

Mwongozo wa mwalomu uk 17 -18.

4

SARUFI


Vihihishi

Mwanafunzi aweze:

Kueleza maana ya vihihishi.

Kubainisha mifano ya vihihishi.

Kutumia vihihishi katika sentensi kwa usahihi.Kutaja na kueleza vitate.

Kueleza vihihishi na kutoa mifano na matumizi yake.

Kupitia funzo kwa sauti.

Kutumia vihihishi katika sentensi.

Kufanya zoezi.


Chati zenye vihihishi

Kiswahili sanifu uk 23.

Mwongozo wa mwalimu uk 19.

5

KUANDIKA

Insha

Mwanafunzi aweze:

Kuandika insha ya kujaza mapengo kwa maneno aliyopewa kwa usahihi.

Kuandika kwa hati zinazosomeka.


Kutoa hadithi fupi.

Kuandika insha.

Kusahihisha insha

Kutoa hatua zilizoajika.Wanafunzi

Vielelezo vya insha.Kiswahili Sanifu darsa la 8 uk 25

Mwongozo wa mwalimu uk 20


5

1

KUSIKILIZA NA KUONGEA

Dira

Mwanafunzi aweze:

Kubainisha msamiati wa dira.

Kuchora dira yenye pembe 16

Kutumia msamiati wa dira kwa usahihi.


Kueleza uchi zilizotajwa katika funzo la tarakimu.

Kutaja pembe za dunia.

Kuchora dira la somo hili.

Kusoma yaliyokitabuni kwa sauti.

Kufanya zoezi.


Picha

Michoro


Chati ya dira

Kiswahili sanifu uk 26

Mwongozo wa mwalimu uk 21

3

MSAMIATI

Methali

Mwanafunzi aweze:

Kusoma methali na maana zake kwa ufasaha.

Kubainisha umuhimu wa methali.

Kutumia mey=thal katikla sentensi kwa usahihiKukamilisha methali za funzo lililopita.

Kueleza umuhimu wa methali.

Kuandika methali moja kwa moja ubaoni.

Kupitia funzoChati za methali

Kamusi


Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 28

Mwongozo wa mwalimu uk 23 – 24

kwa sauti.

Kufanya zoezi.

4

SARUFI

Vihisishi

Mwanafunzi aweze:

Kubainisha aina mbalimbalimya vihisishi na mifano yake.

Kutoa na kutumia mifano sahihi ya aina ya vihisishi katika sentensi kwa usahihi


Kutaja na kueleza aina ya vihisishi.

Kuthoa mifano kwenye sentensi.

Kueleza matumizi yake.

Kupitia funzo kwa sauti.

Fanya zoezi


Chati

Soma kitabu.Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 29

Mwongozo wa mwalimu uk 24 – 25.

5

KUANDIKA

Barua ya kirafiki.

Mwanafunzi aweze :

Kuandika insha kwa kujaza mapengo kwa usahihi akitumia maneno aliyopewa.

Kuandika barua ya kirafiki kwa usahihi.


Kueleza maana ya baadhi ya misemo.

Kueleza maana ya misemo.

Kuongeza ujuzi wa kuandika barua ya kirafiki.

Kuandika insha.

Kusahihisha insha.


Vielelezo vya barua ya kirafiki.

Wanafunzi.Kiswahili sanifu darasa la 8 uk 30.

Mwongozo wa mwalimu uk wa 24 – 25.  1   2   3   4   5   6


The database is protected by copyright ©hestories.info 2017
send message

    Main page